Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,741 Reaction score 3,316 Mar 14, 2012 #1 guys mwenye nokia e71 naomba tufanye exchange nimpe nokia e63 nimwongeze na kiac flan cha pesa mi niko mwanza namba yangu ni 0764339400
guys mwenye nokia e71 naomba tufanye exchange nimpe nokia e63 nimwongeze na kiac flan cha pesa mi niko mwanza namba yangu ni 0764339400
maege JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 309 Reaction score 73 Mar 14, 2012 #2 utaniongeza shilingi ngap? Na hiyo e63 inauwezo wa kusoma docs gani za ms words.
C cheichei2010 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2010 Posts 932 Reaction score 351 Mar 14, 2012 #3 utaongeza sh ngapi?na hiyo e63 iko kwenye hali gani na kama siyo ya "Niao nshisha shifo"
Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,741 Reaction score 3,316 Mar 14, 2012 Thread starter #4 cm yangu ni original,bado mpya na nakuongeza 20000
Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,741 Reaction score 3,316 Mar 14, 2012 Thread starter #5 kama huifahamu unaweza kuigoogle kwa kuandika nokia e63 utaicheki ilivyo na sifa zake