Msaada DHL..

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
Wazee nahitaji msaada ,kuan ndugu yangu anataka nimtumie documents zake ..kutoka hapa TZ kwenda moscow.ila mimi nipo mkoani nataka msaada wenu kuhusu gharama.documents zenyewe haizizidi kilo moja ni certificate tatu
 
Gharama za DHL inategemea na uzito wenyewe na umbali husika. Kwa documents tu inaweza hata isizidi laki lakini pia isiwe chini ya elfu themanini.
 
Wazee nahitaji msaada ,kuan ndugu yangu anataka nimtumie documents zake ..kutoka hapa TZ kwenda moscow.ila mimi nipo mkoani nataka msaada wenu kuhusu gharama.documents zenyewe haizizidi kilo moja ni certificate tatu

kwa DHL itazidi laki hebu wacheck TNT wapo karibu na Billicanas pale haizidi 80
 
kama mie niko mwz,kwa document yako inaonekana haizidi 1/4 kilo,hivyo kwa kutoka the rock city inakua 94,232/=.kwa hiyo andaa kamakilo hivi itatosha.Sijui uko mkoa gani.
 
mimi niko mbeya sasa hivi..nimempa mtu hivyo vyetu anakuja navyo dsm..ila hapa nilikuwa nataka kujua gharama kwanza ili niweze kumpa huyo dogo mshiko
 
kama mie niko mwz,kwa document yako inaonekana haizidi 1/4 kilo,hivyo kwa kutoka the rock city inakua 94,232/=.kwa hiyo andaa kamakilo hivi itatosha.Sijui uko mkoa gani.
kaka sasnte..unasema kutoka mwanza kwenda wapi?...nataka kujua bei ya kutoka dsm kwenda huko moscow -urusi.
 
Wapigie simu, wako wazi bado
DHL TZ Ltd
Plot 12D
DHL House
Nyerere Road
Dar Es Salaam

Tel: +255 (0) 22 286 1000

Opening Hours

Mon-Fri 08:00-17:00
Sat 09:00-13:00
Sun Closed
Holidays Closed
 
Back
Top Bottom