Nauza Vitz

Rangi ya metalic blue, price ni Tshs 8M. na odometer iko 90,000
 
jumamosi, saa tatu asubuhi, mnazi mmoja near ushirika buiding sawa mkuu?
 
nitaijuaje sasa, I taja hata namba mbili za i.e BX*, BA*, AZ* ili kupata picha umeshaitumia kwa muda gani, odometer inaweza kuchezewa.
 
6M ni ndogo sana kulingana na sababu zifuatazo:

Odometer bado ipo chini;
Gari bado ipo kwenye hali nzuri;
Colour ya gari ipo bomba tofati na zile rangi nyingine;
Kama ukiamua kuagiza JAPAN kwa sasa hutopata kwa bei hiyo;
Ukinunua kwenye YARD zetu za kuuzia magari hapa bongo pia huwezi kukuta bei hiyo;

Katika mauzo haya hakuna dalali mimi ndo mmiliki mwenyewe

Naweza kufanyia 7.5M
 
jumamosi, saa tatu asubuhi, mnazi mmoja near ushirika buiding sawa mkuu?

Pale huwa kuna kijiwe cha madalali wanapigisha mnada magari, siwapendi madalali kwa kupandisha vitu bei tofauti na inayohitajika kwa mwenye mali. Isije kuwa ni kidongo chekundu jirani na msikiti wa masingasinga tu.
 
6M ni ndogo sana kulingana na sababu zifuatazo:

Odometer bado ipo chini;
Gari bado ipo kwenye hali nzuri;
Colour ya gari ipo bomba tofati na zile rangi nyingine;
Kama ukiamua kuagiza JAPAN kwa sasa hutopata kwa bei hiyo;
Ukinunua kwenye YARD zetu za kuuzia magari hapa bongo pia huwezi kukuta bei hiyo;

Katika mauzo haya hakuna dalali mimi ndo mmiliki mwenyewe

Naweza kufanyia 7.5M

Nikimwona njomba Kitomai napata kwa 5m tu
 
Vitz ni gari nzuri sana hususan mafuta, ila inayumba sana barabarani uwapo kwenye long trip. Nimetembelea toka Dar-Mwanza, Mwanza-Singida, zinayumba sana uwapo speed kuanzia 80 yapasa uwe imara kwenye sterling maana hutikisika sana. For town routes ni very fuel economy kiukweli. Engine zake ni imara na hazichemsi, labda iwe imeshaanza kuchokonolewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom