Nyumba ya Ghorofa moja Inauzwa (Semi finnished) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya Ghorofa moja Inauzwa (Semi finnished)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by galaxy68, Mar 13, 2012.

 1. g

  galaxy68 Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyumba ya ghorofa moja ipo Kimara stopover - Michungwani area(haijapauliwa) inauzwa bei ya kutupa,Ina Master bed room 3 za ukubwa wa 6x6mtr ziko juu,Bed room ya kawaida 1 ya 5x5mtr iko juu,M/bed room nyingine iko karibu na garage chini,Sitting 2,moja ya juu yenye ukubwa wa 7x7mtrs,na nyingine ya chini (ground floor) ukubwa wa 6x6mtrs,Dinning room kubwa ya kutosha,Public toilet&bathroom,Kitchen kubwa ya kutosha,balcon ya kumwaga,Garage ya kuingia magari 3, Ukubwa wa eneo la kiwanja ni sqm 900, Price 65 mil. for more details contact # 0754 364 363/0719 757 700.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sq900 kiwanja kidogo sana hata nusu heka hakijafika(30m*30m),bei yako ni kubwa sana kuuza pagale kwa mil65?? Labda kidogo 25mils sio mbaya!!
   
 3. g

  galaxy68 Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inategemea value ya mjengo wenyewe siyo pagale kama unalolijuwa wewe,hiyo 25m yako ni ya kuchimba choo tu.
   
 4. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu huna kamera?
   
 5. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Ina hati Mkuu?
   
 6. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Weka picha mkuu...na punguza bei
   
 7. g

  galaxy68 Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoja niifanyie mchakato baaade kidogo nitaianika.
   
 8. g

  galaxy68 Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Picha on process bei nijuze offer yako kwa cellphone yangu.
   
 9. g

  galaxy68 Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imeshalipiwa kila kitu,promise inatoka soon.
   
 10. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Kwa maelezo yaliyotolewa, iwapo nyumba haina mgogoro na inafikika kwa gari basi ni bei nzuri sana. Weka picha ili tupate uhalisia zaidi.
   
Loading...