Kwa wnyj A town! Inahitajika Pikipiki aina ya TOYO 125cc isiwe ya njia magumashi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wnyj A town! Inahitajika Pikipiki aina ya TOYO 125cc isiwe ya njia magumashi!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by LiverpoolFC, Mar 27, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wadau!

  Nipo hapa mjini A town kwa makazi!
  Inahitajika pikipiki (USED) tajwa hapo kwa Tsh 750,000/= iwe na viambatanisho vyake vyote

  Mwenye kuwa nayo asisite kunijuza kupitia PM!
   
 2. Triple A

  Triple A JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 750
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mm ninayo yangu iko ktk hali nzuri sana yani ni mpyaaaa. Imetembea miezi 4 tu na haijawahi kufanya kazi za bodaboda. Tatizo ni bei mkuu.
   
 3. N

  Ntu JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 60
  Mkuu ninayo toyo, 125 cc, docs zote zipo, imelipiwa kila kitu mpaka Insurance! Laki tisa haipungui hata cent tano!!! Ni-PM tuwasililiane zaidi.
   
Loading...