Fremu ya biashara inpangishwa changombe road, temeke inatazama barabarani

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Napangisha fremu ambayo iko kati kati ya bora na maduka mawili
kuna barabara inatazamana na changombe road inaitwa njia panda toroli
wasiliana na 0713 68 96 65, kwa maelezo zaidi
bei yake ni tshs. 90,000/= kwa mwezi na ninataka kodi ya miezi sita tu

karibuni
 
Mvumilivu wangu inaonekana una mtandao mzuri wa Fremu.Mi Natafuta Fremu sehemu yenye watu wengi.Sasa je hiyo ya chang'ombe iko karibu na Kiwanda cha Bora,yaani pale karibu na Sigara?Nipe Taarifa zaidi ini nije kuicheck.Pia ni maarufu kwa biashara gani?
 
Back
Top Bottom