Wapi nitapata iphone 3Gs Used kwa 300,000/- ?!

Wakuu nahitaji iphone 3gs used yenye hali nzuri + full package. Laki 3 cash iko mezani.

Ninayo ya kwangu iko poa ila home button inabidi ubonyeze kwa nguvu na ndio nayoitumia ss hivi kama uko interest ni pm ni 16 gb rangi nyeusi,unlocked unaweza tumia kwa laini zozote za kibongo pasipo na tatizo
 
Samahani wakuu kwa kuwakera ! Siku nzima leo sikuingia humu,nilikuwa nimebanwa kikazi. Ila kifupi nashukuru nimepata kwa 350,000 jana!
Niko kongwa,dodoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom