codifier
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 438
- 873
Habari wadau wote wa JF,
Naomba ushauri wa simu midrange nawaza pata Kwa tsh. 500k.
Kwa sasa nimeona xiomi Redmi note 12 (8gb 128gb). Kwa budget hiyo naweza ipata? Na inauzwa Bei Gani mpya?
Naomba kupewa option zingine za simu Kwa budget hiyo ya 500k