Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Libeneke la Globu ya Jamii MICHUZI ‹ › Home View web version Thursday, 24 May 2012 Hallow uncle, Nimeokota vyeti vya Goima Peter Mwamwingila na sijui ntamfikishiaje huyu jamaa maana hamna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi, naweza nunua wapi Pinnacle Studio HD Ultimate Collection v.15 kwa hapa Tanzania?Kama unafahamu naomba msaada wako tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaam, Linauzwa gari dogo aina ya Suzuki Kei lenye sifa zifuatazo; 1. Limeingia Tanzania Miezi 6 iliyopita 2. Milango mitano (5 doors) 3. Rangi ya fedha (Silver colour) 4. Automatic...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Jamani wanaohusika na promo za laptop,nahitaji laptop aina yoyote kwa sh 250,000. Contact me:0656924913,0753997747.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa nini ukitaka kuanzisha kampuni ukisearch jina online kwenye website yao kama lipo au la hawakubali wanataka uandike barua wakae nayo 2 weeks kisha wakujibu kama jina lipo au la why?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa huduma ya kutolewa loki iphone, kuiJailbreak, ku update IOS mpya pamoja na kuitoa loki kabisa nitafute kwa pm. Kwa bei poa kabisa na tena nakufanyia kazi yako apo apo! :)
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Zile Microscope(Jaico Binocullars) kwa ajili y amaabara zimeingia tena kutoka UK,kama kawaida ni dual power zinatumia umeme na zinakifaa cha solar (Included) kwenye Box lake,kama umeme umekatika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi, naweza nunua wapi Pinnacle Studio HD Ultimate Collection v.15 kwa hapa Tanzania?Kama unafahamu naomba msaada wako tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Blackbery Pearl3G 9105,white with charger,screen guard,earphone and usb cable selling for 290000 tsh,if u have any good phone we can exchange also..0713677200
0 Reactions
0 Replies
839 Views
nauza battery original ya bb bold9700 kwa elfu 20 tu. Tuwasiliane kwa namba 0714881500. Nb. Battery nimeitumia kidogo sana kama back up battery wakati nasafiri.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana jf, kiwanja chenye ukubwa wa sqmtr1200 na ushee, kina hati na kimepimwa katika mradi wa viwanja buyuni, karibu na chanika kinauzwa kwa sh milioni nane tu. Kwa maelezo zaidi piga simu namba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna jamaa yangu mmoja anatafuta chumba kikubwa na kizuri cha kupanga maeneo ya Sanawari, Mianzini, Sakina na maeneo ambayo yapo karibu ya Arusha Technical college. Chumba hicho kiwe self...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina shahada ya BA(Ed).Natafuta kazi ya kufundisha Kifaransa kuanzia shule ya msingi mpaka colleges.Nina uzoefu kazini wa miaka 4.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu brothers and sisters, Polen sana na majukumu, inshort mi ni kijana wa kiume 25yrs of age, natafuta vijana wenzangu 2 na mimi wa tatu, wanaoanza safari yao ya maisha ili for...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani wanajamvi salama? Natafuta betri ya hp min laptop mwenye kuwa nayo naomba tufanye biashara. Au anaejua waliko mafundi wachakachuaji wa betri tafadhali nijulishe.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello Mwenye details za viwanja vya patikana mwanza...au shamba please tuwasiliane. Regards Buswelu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Make: Volvo, JUNE Mechanism: Hydrolic Location: Tabata, Matumbi. Manufactured: 1982 Condition: Iko kwenye hali nzuri, Inatumika na inauzwa. Arrived in Tanzania 2011 January. Bei: 35,000,000 Tshs...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Tunauza betri acid za jumla kwa bei nzuri tu, tena tunaweza kukuletea mpaka mlangoni kwako, haya maji ya betri, distilled water na coolant za kwenye magari. Maji ya betri yenye kiwango cha gravity...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF ninatafuta gari aina ya Pajero Jr (1.1 cc) kwa haraka. Tafadhali kama unalo au unazo taarifa muhimu kuhusu wapi naweza pata hili gari hasa Dar tafadhali nijulishe. Asante
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…