Eneo zuri sana linauzwa arusha

Eneo zuri sana linauzwa arusha

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
5,175
Reaction score
3,275
eneo zuri sana linauzwa ,lina ukubwa wa eka moja . linafaa sana kwa ujenzi wa hostel na recreation center . ni mahali pazuri mnooo . bei ni milion 35 . pm kwa mtu atakaye hitaji.

NB: maelewano yapo.
 
Bucho Arusha kubwa hii! Kwangulelo, Kimandolu, Sakina, Unga ltd, Njiro, Sinoni, Kwamrombo....wapi haswa??
 
lipo maeneo ya moshono ndg zangu .
 
wakuu hili eneo ni zuri mno kwa biashara . changamkieni kama una uwezo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom