shamba/plot inauzwa

shamba/plot inauzwa

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
15,340
Reaction score
1,571
nauza shamba, kubwa sana la ekari tano.

Lipo CHANIKA.

linafaa kufungua yard,kiwanda,shule,kujenga nyumba au kwa matumizi yako yoyote unayohitaji.

umeme upo na linafikika kwa gari hadi hapo site.

twanga simu no.0715290325

NIPE BEI.
 
Ninazo shilingi 1,000,000/=

Shamba lina hati?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom