Nahitaji wawekezaji, wawezeshaji au wabia wa kibiashara.

Nahitaji wawekezaji, wawezeshaji au wabia wa kibiashara.

cashmoney

Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
89
Reaction score
31
Heshima kwenu wakuu, ninawiwa kutafuta wawekezaji, wawezeshaji ama wabia kwa ajili ya biashara yangu. Kifupi nina kampuni ya utoaji huduma za mikopo kwa wajasiliamali na wafanyabiashara wadogo wadogo, iliyopo Dar Es Salaam. Nina uwezo wa kulipa 10% (asilimia kumi) ya kiasi kitakachowekezwa kila mwezi (interest) iwapo tutakubaliana nikizalishe kwa muda wa miezi sita na kuendelea. Kwa mawasiliano zaidi, tuwasiliane kupitia. (kwa yoyote aliyekuwa interested).

Mkurugenzi
0654 418 560
 
Mkurugenzi rudi jukwaani,

Jina la kampuni yako na anwani yake ( mahali ilipo). Viweke peupe vyote hivi.
 
Mkurugenzi rudi jukwaani,

Jina la kampuni yako na anwani yake ( mahali ilipo). Viweke peupe vyote hivi.

La VIVA Financial services, Tupo maeneo ya kijitonyama, Dar Es Salaam - Tanzania.
 
Back
Top Bottom