Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nunua kiwanja kwa installment katika mwaka mmoja

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Enny, Aug 16, 2012.

 1. E

  Enny JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  je unahitaji kununua kiwanjana kipato chako kidogo?

  kiwanja kipo Mabwe pande kinauzwa milioni 9 ni nusu heka kina michungwa na minazi 2.

  Umeme upo .

  kwa mawasiliano zaidi ni PM.
   
 2. W

  Wenger JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 415
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Ebu nihakikishie usalama wangu kama sitatolewa kucha huko bila ganzi

   
 3. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Weka instalment schedule nione amount ni kiasi gani!
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,509
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  Kwa historia ya eneoa hilo hata kama kikiuzwa kwa shilingi moja sitanunua.Siwezi kushuhudia mauaji ya innocent people hapo kabisa maana msitu au aneo hilo linapaswa declared "Dangerous". Nikikimbuka mauaji ya wale innocent germ dealers na kukoswa koswa kwa Dr. SU ninaogopa sana. Naweza kukosa wageni kabisa huko looooh balaa kabis.
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 16,009
  Likes Received: 2,124
  Trophy Points: 280
  Wakati unachimba msingi waweza kukutana na mafuvu ya binadamu!!
   
Loading...