Kuitwa kwenye usaili - Bandari.

Kuitwa kwenye usaili - Bandari.

fmlyimo

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
331
Reaction score
210
Majina ya waliofaulu usaili wa kwanza kama karani daraja c na nafasi nyingine yametoka hapa Utumishi, bandari. Hivyo wanaitwa kwenye usaili wa pili wa mahojiano. Uje usome jina lako ujue siku ya usaili.
 
heri yao watakao faulu kwa haki, na ole wao watakao faulu kwa mizengwe
 
Back
Top Bottom