Kiwanja cha sqm 1,278 ada estate kinondoni kinatafuta mwekezaji ( mbia) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja cha sqm 1,278 ada estate kinondoni kinatafuta mwekezaji ( mbia)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Aug 15, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Kiwanja hiki kipo hapa Ada Estate pembeni mwa barabara ya Tunisia kinatazamani na Luxury apartment . karibu kabisa na ilipokuwa hospital ya Moyo au leaders club kiwanja kimezunguziwa ukuta na katikati imejengwa nyumba . anatafutwa mwekezaji ambae atajenga kitegauchumi cha aina yoyote . Ada estate ipo kinondoni Dar es Salaam. kama unahitaji eneo hili tuwasiliane
  0657 145555 au 0778 625 039 .

  Pia nina eneo la sqm 1898 hapo mtaa wa kitonga upanga nalo linataka mwekezaji katika eneo hili unaweza jenga nyumba 2 kwenye hicho kiwanja kimoja na pia eneo la heka moja hapo tom estate kurasini ambalo linauzwa lipo karibu kabisa na bandari sehemu wanapopakia mizigo kwenye magari makubwa in eneo kubwa na zuri sana kibiashara. ( mimi ni Dalali wenye mali wapo na copy ya nyaraka za maeneo hayo ninazo unaweza kuja kuona nyaraka kisha ukaone eneo)au waweza ni pm
   
 2. A

  Akiri JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ada estate ipo kinondoni nimeeleza, mwenye uwanja anataka wakati wa ujenzi awe analipwa mpaka ujenzi utakapo kamilika pia angependa uwekezaji uwe wa miaka 20 kushuka chini
   
Loading...