Nauza shamba kibaha-kongowe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza shamba kibaha-kongowe

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mzalendo Mkuu, Aug 13, 2012.

 1. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 736
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wana mjengo nauza shamba la ukubwa wa ekari tatu. Shamba hilo lipo umbali wa km 2.5 toka barabarani. Shamba lina mananasi yanayozaa, miembe ya kisasa 150 na minazi 25. Bei ni 50Milioni tu. Piga simu 0757551193
   
 2. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,574
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Hivi huwa mnatumia formular gani kupata hizi bei?
   
 3. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,259
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hujui soko ni huria?
  na wew unaongea bei yako!
  poa man
   
 4. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hilo shamba lina hati>
   
Loading...