scholarship maalumu kwa watanzania.

scholarship maalumu kwa watanzania.

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,747
kama kicha cha habari kinavyoeleza hapo juu. hii scholarship imetolewa na na TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY.
kama wataka jua zaidi kuhusu hii scholarship na scholarships nyingine gonga hapa. Scholarships for African Students
 
Hatupotezi muda kuomba scholarship mlizoshachaguana tayari,
 
Hatupotezi muda kuomba scholarship mlizoshachaguana tayari,

Hili ndilo tatizo hasa la watanzania wengi... Kuna scholarship zilikuwa zinatolewa na university flani U.K kwa ajili ya watanzania watano kila mwaka lakini kwa kuwa watanzania wengi wana mawazo kama yako hakuna waliokuwa wana apply mpaka wakaamua waifute.
 
sababu mfumo umeshaharibika kubebena kwingi,
 
Back
Top Bottom