Natafuta simu nzuri ya kununua

Natafuta simu nzuri ya kununua

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
Wadau bajeti yangu ts200,000=natafuta simu ya kisasa hata used,iwe inakaa na chaji,haina usumbufu kwenye mambo ya internet na music,nikipata window mobile itakuwa safi sabAbu nimetumia siku nyingi sana
 
ni vema ume specify,coz uzuri ni subjective!
 
mie ninayo nokia asha200 kama unahitaji nipigie0778-005506
 
Nakuuzia Nokia 7230 haina matatizo katika internet na inakaa sana na charge
 
Mm ninazo Htc 4g na nokia N8 ila bei ni zaidi ya baget yako.
 
Wekeni picha na bei mnaweza kutushawishi na wengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom