Lipia kingamuzi chako cha canal+

Feb 16, 2017
15
16
Bei za vifurushi vya malipo ya canal kwa mwezi.

1. TOUT CANAL + Faranga za kirundi 120,000/=
premium package sawa na shilingi 130,000/= Canal Sport

2. EVASION+ Faranga za kirundi 53,000/=
Compact Plus sawa na shilingi 65,000/= Canal Sport

3. CANAL+ Faranga za Kirundi 30,000/=
Compact sawa na shilingi 45,000/= + Canal Sport

4. EVASION Faranga za Kirundi 30,000/=
Family sawa na shilingi 36,000/=

5. ACCESS Faranga za kirundi 15,000/=
sawa na shilingi 20,000/=

Lipia KINGAMUZI chako kwa kupitia Tigo pesa wakala namba 14435 jina Dunia Salutwe Shakur 2 au M-pesa wakala namba 71697 Wakala ni Kitentya M-pesa shop (Jumanne Kitentya)

Kwa maelezo ya Ziada Tuwasiliane kwa namba
0788489899 Airtel
0658489899 Tigo
0629133444 halotel
0767489899 Vodacom
 
Kulipia ni last stage after installation
Wapi hzo receiver zinapatikana
Installation zake zikoje plus gharama za ufundi
Unless useme una wateja wako tayar so unawapa taarifa
Na gharama za ufundi ikiwa nje ya Kigoma, utalazimika kulipa gharama za fundi atakaye kugungia
 
Sasa bei yenyewe kubwa hivyo inakaribiana na Dstv wakt nitatumia kiwizi wizi alafu lugha ni kifaransa, humo ndani hamna channel za kibongo, habari, tamthilia nk. Bado hujanishawishi kung'oka Dstv mkuu! Ni sawa na mtu aniuzie bia sh 2,200 alafu nikanywee kambi ya fisi wakati la chaaz pub wanauza 2,500 mandhari safi, mziki na watoto wazuri
 
Mechi zote za UEFA leo ndani ya Canal plus.
Chelsea vs Real Madrid
Napoli vs AC Milan

Wasiliana nami kujipatia king'amuzi cha Canal kwa 100k tu na kifurushi cha mwezi kwa 45k tu ushuhudie mitanange ya leo na mechi za EPL, LALIGA, BUNDESLIGA, SERIE A na LIGUE 1.
Pia tunatoa huduma ya malipo ya kifurushi cha mwezi.
0629439450

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
MSIMU WA LIGI MBAIMBALI UMEKARIBIA
Jipatie king'amuzi cha Canal Plus uweze kushuhudia mitanange ya Ligi kubwa Duniani kama UEFA, EPL, LALIGA, BUNDESLIGA, SERIE A, LEAGUE 1 na nyingine kibao!
Decrder bila dish wala kifurushi ni 100k tu.
Kifurushi cha mwezi ni 46k.
Mawasiliano 0629439450
 
MSIMU WA LIGI MBAIMBALI UMEKARIBIA
Jipatie king'amuzi cha Canal Plus uweze kushuhudia mitanange ya Ligi kubwa Duniani kama UEFA, EPL, LALIGA, BUNDESLIGA, SERIE A, LEAGUE 1 na nyingine kibao!
Decrder bila dish wala kifurushi ni 100k tu.
Kifurushi cha mwezi ni 46k.
Mawasiliano 0629439450
Unapatikana wapi boss?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom