Mwenye Prado 120 Au Unamjua Boss Alienayo Nipe connection tufanye kazi

Alkam Alkam

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
602
509
Husika na kichwa hapo juu,Natafuta boss Mwenye gari Prado 120 tufanye biashara ya kuikodisha

Gari Hii hua inalipwa kwa siku na mafuta Mara nyingi mteja ndo hua anaweka Sie hua tunachaji Bei ya gari na Dereva

Sasa hivi kazi zipo na kazi inaweza kua ya siku mbili tatu nne tano na kuendelea,kazi inaweza kua mkoa wa Dar es Salaam ama mikoa mingine

Me ni Dereva nina vyeti vyote NIT na veta na Nina leseni hai class C na madaraja mengine

Mfano wa gari yenyewe
IMG_0332.jpg

Karibuni Sana Pm Au kwa mawasiliano zaidi (mstaarabu92@yahoo.com) hiyo ni email yangu.
 
Back
Top Bottom