Wadau naomba mnipe ushauri na a way forward.
Mimi ni graduate ila si engineer ingawa nimefanya mambo ya construction pale UCLAS. Nimesajili kampuni ya contractors BREla sasa nataka kwenda CRB...
I posted this advert days ago
Hermes Power Inc: COCA COCA ADVERT, IS IT FARE FOR AFRICAN?
Then it appeared with translation on michuzi
Africa should think before others think
MICHUZI...
Samsung Galaxy S II ipo sokoni Imetumika kidogo haina tatizo lolote,
Ina original chaja, headphone battery pack (extra battery)
Specs: cpu ni 1.2 Duo core Ram 1GB display HD
Camera 8 megapix...
Shamba lenye ukubwa wa eka mbili na nusu linauzwa. Liko Vianzi maeneo ya Vikindu. Bei ni shs 10m lakini maelewano yapo. Kama unahitaji nipigie 0754 599929. sina dalali yeyote mawasiliano yote yaje...
Tunahitaji dada mwenye ujuzi wa kazi za customer care mwenye sifa zifuatazo.
awe na umri usiozidi miaka 30.
awe na ufahamu walau kidogo wa lugha ya kiingeleza
Awe na uwezo wa kutumia computa hasa...
Je unataka chumba cha kupanga hapa jijini mwanza tafadhali tembelda http://joackim.thomas@facebook.com kwa maelezo zaidi au piga simu namba 0765936964.bei zetu ni nafuu karibu sana.....
Canon Digital Camera imeokotwa tarehe 10/07/12 saa 11 jioni maeneo ya Ubungo stand ya Mlandizi, mwenyewe alitafutwa kwa muda huo haukupatikana. Tafadhali kama kuna mtu anamjua aliyepoteza...
Wadau kwa wanaopenda kuwekeza kwenye aridhi . kuna uwanja mzuri upo katika eneo zuri la kibiashara hapa Upanga . ENEO lina Sqm 1894 unaweza kujenga apartment 2 kubwa ktka hili eneo au kitegauchumi...
Kiwanja hiki kipo karibu kabisa na kituo cha mabasi kina sqm 15 x 30. kwa sasa kiwanja hiki kimejengwa nyumba ambayo mnunuzi atavuja . ni kizuri kwa biashara ya hotel,supermarket , kituo cha...
imetumika kidogo,ni ya zyxel,nbg4115.ina vifaa vyote kama antena nk.ina ports mbili za ethernet na inaitaji modem au ule wire kutoka kwa isp.it transmits up to 150mbps.bei ni laki moja.kama...
Torch 9800 nyeusi used ina scratch housing yajuu kwa pembeni,inakaa sana na charge haina tatizo lingine,kuanzia 400,000 pungufu unaongea 0712000119 nipo Dar
SONY Camera ya kazi ambayo imetumika lakini ipo katika hali nzuri sana na ipo tayari kwa kuanza kazi.Kama mnavojua kampuni ya SONY ni moja ya kampuni zenye kusifika.
Camera hii itaambatana na...
SONY Camera ya kazi ambayo imetumika lakini ipo katika hali nzuri sana na ipo tayari kwa kuanza kazi.Kama mnavojua kampuni ya SONY ni moja ya kampuni zenye kusifika.Bei yake shs
2 milioni, kwa...
ni bei ya promotion,inarange btn 200,000-300,000,inategemea na contents uzazohitaji ziwekwe.Pia tunatengeneza blogs kwa 30,000-40,000.logos 15,000, banners 10,000.
Tupo Mikocheni A karibu na...