Anatafutwa mwekezaji wa kujenga kitega uchumi hapa upanga dsm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anatafutwa mwekezaji wa kujenga kitega uchumi hapa upanga dsm

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Jul 23, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wadau kwa wanaopenda kuwekeza kwenye aridhi . kuna uwanja mzuri upo katika eneo zuri la kibiashara hapa Upanga . ENEO lina Sqm 1894 unaweza kujenga apartment 2 kubwa ktka hili eneo au kitegauchumi kingine chochote , eneo lipo kisheria na nyaraka muhimu zote zipo. anayetaka kuona au kuangalia site plan tuwasiliane 0778 625039. na 0686 200 117.

  Pia kuna eneo kama hilo Ada estate kinondoni nalo tunatafuta mbia , pia eneo la heka moja hapo kurasini karibu kabisa na bandari ya Dar es salaam hili linauzwa bei powa $ 700,000.
   
Loading...