ninauza simu aina ya b.berry curve 2&1

ninauza simu aina ya b.berry curve 2&1

ALLY RIYAMI

Senior Member
Joined
May 26, 2012
Posts
115
Reaction score
15
naitwa ally riyami nauza cmu aina ya bberry curve1&2 na nokia e63 bei poa tuwasiliane 0652740304
 
pia kama utaitaji digito camera yenye memory 8gb 14m plixes na laptop aina ya mack pro.apple call me 0652740304
 
Bei..... na picha. Mambo ya kuongea kwenye simu unapoteza muda.
 
weka picha na Bei hapa..vitu vijionyeshe watu wajue wanabargain vipi siyo Manumber Ya Simu..weka Picha Mkuu
 
Au za wizi?maana majuzi nilikuwa Polisi pale...nikakuta kesi kama 6 za wizi wa simu zaidi ya 17,hizo jamani tuachane nazo maana kuna jamaa yangu aliingia mkenge kanunua simu ya mkononi imemgharimu siku 7 selo ya Polisi.:israel:
 
Back
Top Bottom