Tunahitaji mtu wa kufanya kazi za customer service | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunahitaji mtu wa kufanya kazi za customer service

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Jul 4, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Tunahitaji dada mwenye ujuzi wa kazi za customer care mwenye sifa zifuatazo.

  awe na umri usiozidi miaka 30.
  awe na ufahamu walau kidogo wa lugha ya kiingeleza
  Awe na uwezo wa kutumia computa hasa


  • Ms.word
  • Ms.execel
  • Ms.publishers
  • E-internet & Email

  kwa anayetaka tuwasiliane 0657 145555
   
 2. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,669
  Trophy Points: 280
  Muwe mnataja na sehemu mlipo.
   
 3. m

  mama cha Senior Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi ni graduate, napokea 1.2, take home 800000, nije mnipe take home 1.5, niwafanyie castomer care, office management and admn work?
   
 4. z

  zamadamu Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akiri please call this number 0655 088055
   
Loading...