Digital Camera imeokotwa

ilikuwa haina picha ? kama kuna picha upload them tunaweza tukawatambua kisha mwenye kamera kujulikana,
 
Wote tungekuwa kama wewe nchi ingeendelea sana, tusingekuwa na mafisadi. Big up
 
Hongera sana mheshimiwa!!Mungu akubariki sana,hakika umenipa moyo kuwa kumbe ndani ya dunia hii iliyojaa kila aina ya dhuluma,bado kuna watu wema wachache na wewe ni mfano hai!!
 
Hongera sana mheshimiwa!!Mungu akubariki sana,hakika umenipa moyo kuwa kumbe ndani ya dunia hii iliyojaa kila aina ya dhuluma,bado kuna watu wema wachache na wewe ni mfano hai!!next time ntakuombea Mungu uokote gari lenye card yenye jina na utambulisho wako.
 
nbona bado hujaapload au ulikua unatania
weka picha unaweza kukuta ni ya jamaa yake kova
walikua wanafanya shuting ya ile movie yao mapwepande na mkenya wao ft mchungaji
 
Ebana Mkuu Msamalia Mwema hata mimi Nilipoteza Funguo ya Gari Aina ya Verossa kama ulinionea Tafadhari
 
Tunasubiri picha mkuu ili itufundishe ustaarabu tuliousahau zamani. Naungana na mchangiaji wa kwanza.
 
Back
Top Bottom