Kwa matatizo yote ya laptop tembelea www.laptoclinic co.tz
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia:
Support Department
44 Ursino South Estate
Uporoto street
Behind Victoria Petrol Station
Dar es...
habari wana MMU
Natafuta mahali ambapo naweza kununua cd empty na za movies + gospel music vilevile na vifaa vya simu km makava chargerz n.k kwa bei ya jumla.km una access yeyote naomba uni PM
Eneo kubwa linauzwa likiwa na nyumba ndani yake. Tulikuwa tunalitumia Kama yadi ya Magadi(lorry). Linauzwa million 450 but kunapungufu kidogo. Piga Simu 0712435316 kwa mazungumzo zaidi.
Habari Wadau,
1.Mwandege Heka 4.5,Bei Sh90mil Kimepimwa na kina Title
2.Mwanambaya Heka 10 Kinafaa kwa Kuanzisha kiwanda na Apartment Sh 60Mils Kimepimwa
3.Vikindu Heka 20 Kimepimwa na kina...
Aina: Hilux Double Cabin
Model LN 107
CC:2779 Diesel
Colour: Silver
Bei Tshs 13M
Manufacturer 1992
Imported 2003
Odometer reading 321,000
Inatembea na ipo kwenye hali nzuri kwa kazi za...
Kiwanja cha mita 15 kwa 15 chenye nyumba ambayo bado haijamalizika kujengwa kinauzwa mtaa wa Ilkiurei Mianzini Arusha mjini. Bei ni 45million ila maelewano pia yapo. karibuni wote wenye uhitaji...
Wakuu natafuta vyumba viwili yaani chumba na sitting room vinavyoingiliana kuwe na jiko na choo pia. Kuwe na umeme na maji na usalama ule ukirudi jioni jamaa wajasiri wa mali hawakufanyi wewe...
ARCTIC SEA-SUPER OMEGA-3
Utafiti ulifanywa kwanini wajapani hawaugui magonjwa ya kansa , kisukari na magonjwa ya moyo , ikaonekana kwamba wajapani wanatumia sana vyakula vya baharini...
Inatokana na gel ya katikati ya jani la Aloe vera.
Bidhaa hii imetengenezwa kiumahiri na mfumo wenye hati miliki uitwao ‘Stabilization Process'.
Ni bidhaa ya kwanza kupewa mihuri na...
SONYA SKIN CARE: Kwa wenye salon wanaweza wakatumia Kit moja kwa wateja 100 na zaidi**.
Bidhaa hii ya ngozi ni ya pekee yenye aloe vera,matunda,white tea (anti-oxidant) na unyevu wa ziada kwa...
ALOE LIPS
Ni bidhaa ndogo lakini inatumika kwa huduma ya kwanza, ina aloe vera , jojoba oil na nta ya nyuki ambayo husaidia kulainisha, kuboresha midomo na ngozi kwa ujumla .
Husaidia kuondoa...
toshiba laptop for sale..ipo in good
condition..dual cpu @2.3ghz,4gb
ram
ddr3,500gb hdd,1780mb video
ram,win 8 release prev n win 7
ultimate edtn wit vmware wit ubuntu
12.04,mint
13 and win...