Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tecno T1, new dual SIM smartphone Key Features: · Android 2.3.5 Operating System · Capacitive touch screen of 3.5-inch · 3.0mp camera · Sensor options...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu, naombeni ushauri wenu, nimejaribu kupita pita madukani kutaka kununua television ambazo ni full HD, na music system,nimeshangaa kuona bei ya TV hizi hapa kwetu wakati mwingine inafika...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nauza mashine za bakery ambazo nilinunua uingereza zilizotumika.Mashine hizi nilinunua kwa ajili ya kuzifanyia kazi lakini sikufanikiwa kufungua kutokana na sababu zisizo zuilika na matokeo yake...
0 Reactions
8 Replies
12K Views
BB Curve 2 inauzwa laki 2. Iko fresh.. Haina tatizo lolote! Any1 interested ani-PM Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naitwa stanley moses mtaalamu wa uandaaji na mshauli wa uandaaji wa field and reseach reports kwa gharamama nafuu sana muone kwa mawasiliano 0713163155, 0765487827
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Je unahitaji kununuanyumba,kupanga,kiwanja,shamba,hostel,Viwanja vya ufukweni maeneo ya Mtwara?Wasiliana na dalali maarufu kwa namba 0715191967 au 0767191967
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu nauza nokia c3 mpya kwa laki mbili na ishirini tu 220000
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama unauza gari aina ya Rav 4, 3doors, GA, isizidi 100,000km, Dar es Salaam tuwasiliane. Bei isizidi 8M.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani wana jf. Natafuta nyumba ya kupanga sae,block t,airport,sido,uhindini,ccm au mjini. Iwe na vyumba vinne kimoja kiwe master room ambae anafahamu aniambie au anitumie no ya dalali.nisaidien...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta Dell insipron n5040 HDD 500 4gbram Processor interl core i 3 2.52GHz or above!! iwe mpya au kama unafahamu wapi wanauza bei nzuri naomba unijuze..asante
0 Reactions
0 Replies
894 Views
MPYA KABISA INA KILA KITU NA BOKSI 0712 769766
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu naitaji iphone 3gs kwa laki mbili mwenye nayo nipm faster
0 Reactions
6 Replies
1K Views
naitwa stanley moses bingwa mshauli na muandaaji wa field report na research desartation kwa gharama nafuu sana napatikana kurasini kwa anwani ifuatayo stanley moses 0713163155, au o765487827
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Nauza Access Point DWL-2100..elfu 70 tu + installtion ukitaka..,Also nauza PC Monitor flat screen 17 inches Hp....elfu 70 tu.Vyote viko Dar.if you are Serious Buyer ni PM
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Selling htc wildfire s white used for three weeks in a good condition for 230K
0 Reactions
2 Replies
693 Views
ni kiwanja kizuri, kimepimwa, medium size, kiko block Q, squremita 800:kiwanja Kiko karibu na shule ya Sekondari tushikamane. Kwa maelezo zaidi piga namba. 0713506260
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Mimi ni sales and marketing manager wa hotel moja hapa dsm. For both resident and non resident. Hotel iko mnazi mmoja area, vyumba ni vizuri na safi. Breakfast ni free, vyumba vyote vina maji...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Eneo la hekari mbili linauzwa Kibaha kwa Mathias Kidenge njia ya kwenda Msangani kuna maji na umeme upo karibu, barabara inafika mpaka kwenye eneo. Lina miembe miwili, minazi mitano, michungwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ipo morogoro msanvu kitovu cha moro. Ina vyumba vya kulala self-contained 22, bar kubwa na jiko. Inafanya kazi. Ipo busy sana upande wa bar na jiko. Imejengwa katika eneo lenye mvuto wa kibiashara...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom