Natafuta nyumba ya kupanga mbeya

Natafuta nyumba ya kupanga mbeya

Kizwili

Member
Joined
Feb 19, 2012
Posts
39
Reaction score
2
Jamani wana jf. Natafuta nyumba ya kupanga sae,block t,airport,sido,uhindini,ccm au mjini. Iwe na vyumba vinne kimoja kiwe master room ambae anafahamu aniambie au anitumie no ya dalali.nisaidien wana jf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom