Hi,wanajamii.Kijana nimemaliza chuo nimetafuta ajira nimekosa so nimeamua kujiajiri na kimtaji kidogo.Naomba mwenye maelezo ya fremu maeneo ya sinza,mwenge au magomeni tuwasiliane 0715/0755 200221...
Nyumba ya kisasa inauzwa imekamilika yaani [ aluminium, tiles,gypsum,] ina garden nzuri, parking kubwa, gate, vyumba3 master1 kubwa, sebule kubwa, public toilet, jiko, store, studyroom...
Prado ya mwaka 2002, imeingizwa nchini July mwaka jana. Ina hali nzuri sana, bei maelewano. Mwenye interest ni-PM kwa details na picha. my email: tfnola@gmail.com
Toyota Surf is being sold as appears on the picture, Automatic, Diesel Engine, at working condition, well maintained and has mainly been used in Dar es salaam
It can be seen on week ends...
Nyumba ya kupanga vyumba viwili sebure jiko na choo maeneo ya Mwananyamala kinondoni makumbusho knyama inatakiwa nina 150-180, 000/= kwa mwezi kodi ya mwaka ipo namba ni 0715 69 69 20
Kiwanja kinauzwa mivumoni kipo karibia na shule ya st. Patrick kina ukubwa wa 30mita kwa 20mita
maji umeme vipo gari linafika mpaka kwenye kiwanja bei yake ml6 kwa anayehitaji piga 0714107215
SOLD SOLD SOLD SOLD
salam wandugu, Scania 113/360 horse, bado haijaanza safari namtafuta mteja wa kulipa advance kidogo hili nimletee. bei nitakayomuuzia mil 40. Gari ni 1993,ni gari ya kufanyia...
Tablet with support for GSM voice communication, SMS, and MMS.
GENERAL
2G Network
GSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G Network
HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100
Announced
2012, February
Status...
Salaam!! Ninataka kununua simu aina ya Nokia E5!! Huwa inakwenda kwa bei gani?? Nipo Tunduru jamani na sina access ya maduka ya simu. Kuna mtu nataka nimuagiza dar
Habari wakuu, nauza incubator ndogo ya mayai 60,inatumia umeme bei ni 230,000/=
Na pia washing mashine brand name ni BEKO, RPM 1000, inauwezo wa kufua nguo kilo 5, bei yake ni 500,000/=.Kwa...