Nyumba inauzwa

Kariba1

Member
Aug 20, 2012
75
4
Nyumba ya kisasa inauzwa imekamilika yaani [ aluminium, tiles,gypsum,] ina garden nzuri, parking kubwa, gate, vyumba3 master1 kubwa, sebule kubwa, public toilet, jiko, store, studyroom, diningroom, eneo kubwa la kujiachia maji na umeme vipo nyumba ipo mbweni ndege beach bei yake ni Tshs 180 000 000. hati ipo na maongezi yapo kwa anayehitaji piga simu 0714107215 au 0712868672
 

Attachments

  • IMG-20120907-00301.jpg
    IMG-20120907-00301.jpg
    59.7 KB · Views: 69
  • IMG-20120907-00299.jpg
    IMG-20120907-00299.jpg
    57.8 KB · Views: 69
  • IMG-20120907-00290.jpg
    IMG-20120907-00290.jpg
    280.8 KB · Views: 62
Iko poa sana kwa nje sijui ndani....halafu iko juu sana bei yake.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom