Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Waungwana nahitaji nyumba ya kupanga Moro mitaa ya Kola,msamvu ama Mjini kati.arimradi iwe na uzio.Hata chumba na sebule sawa.Na kama kuna ambayo ni full furnished ni nzuri zaidi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Plot for sell ipo kunduchi bichi karibia na nyumba za polisi ndani kidogo. Milioni 32, maelewano piga +255 719600 705 na 0713 536 471
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza Opa ni ya mwaka 2000 imesajiliwa mwaka jana mwezi wa tano, namba ni BZ.......haina matatizo kabisa KM reading ni 75,000 KM bei 9.5 Mil. Dalali anapendwa ila haitajiki kwenye hii biashara...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Iko barabarani,Inafanya kazi Njia ya Kawe-Mbagala Bei; 25,000,000/- Maelewano yapo Kwa Mawasiliano piga sim 0787 081 555
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Natafuta apartment maeneo ya upanga,masaki na oysterbay au sehemu yoyote tulivu iwe kati kati ya mji please kama unafahamu unifahamishe nina shida ya haraka 0715/0755 200221.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ideos u8150-D used for three months but in perfect condition ...bei ni 110,000 ipo kwny box na unapta charger,memory card na xtra cover ....if u are interested plz pm me thnx for reading
0 Reactions
2 Replies
887 Views
Habari wana jamii, Nyumba inauzwa yenye sifa zifuatazo: 3 bed room including Master bedroom, sitting room,dining room,kitchen, public toilet,store etc. Also the site has enough space for car...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wana JF kama kuna mtu mwenye viti viwili, used ,vya saloon (barbershop) kuna jamaa yangu anavihitaji. Viwe katika hali nzuri. Asanteh Namba yake hii hapa: 0713 095 267
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza kiwanja changu. Wapi? Kimara Mavurunza. Kilometa mbili kutoka Kimara mwisho. Ukubwa? mita 28 kwa 26 Bei? milioni 15 Sifa zingine? . Umeme upo . Barabara ipo mpaka kiwanjani . Ni sehemu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
white in a good condition used for about 3 weeks iko sim kama sim for 250k call me or whatsapp 0688008822
0 Reactions
0 Replies
749 Views
S.3 is silver in colour, new in box @ 1M and bold 9900 black @ 700,000 its used. Picha angalia google ya s.3 ni mpya kwenye box na bold 9900 kama unaitaji uione ni pigie 0713079282 coz kueka pic...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TSH 6,000/- 0754 710870 0769 888605 0786 139316 0783 454523 gorretti54@gmail.com Aloe Lips Ni bidhaa ndogo lakini inatumika kwa huduma ya kwanza, ina aloe vera , jojoba oil na nta ya nyuki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF, natafuta mbwa wa aina ya Bishon Frisé. Wakiwa pure hua ni weupe but I am looking even for a bastard (frist generation). Awe at least 2 month old na awe amepata chanjo zote za mwanzo...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Tunatengeneza na ku host websites (Tovuti) za aina yoyote CMS, Blog, Static nk Features ni 40GB disk space Unlimited email accounts FTP access MySQL Database PHP 5 multiple websites...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mambo vipi wadau? Nina kiwanja nakiuza bei nzuri sana kwa sasa kina upana kwa mbele ni mita 23 na nyuma ni mita 15, kwa pembeni kina urefu wa mita 20 hivi. BEI NI 6.5 MILIONI NA NDIO BEI YA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
inahitajika nyumba mwananyamala au kinondoni vyumba viwili au vitatu self ijitegemee isiwe uswaz iwe na jiko na subure luku yako na uwezo kupata maji call 0715 69 69 20
0 Reactions
1 Replies
1K Views
bei nafuu self 1.vyumba viwili vya kulala.jiko,stoo,dining ,choo na jiko. ipo oposite na sheli pale tabata kimanga mwisho bei ni 300,000/=ila inashuka ni nyumba nzuri kwa familia ipo isolated...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kiwanja kipo JKT MBWENI njia ya kuelekea ndege beach kipo ufukweni. square meter 1394, document zote zipo. tuwasiliane 0714 37 14 41
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kipo JKT MBWENI njia ya kuelekea ndege beach kipo ufukwe wa bahari . square metre 1394. document zote zipo. tuwasiliane 0714 37 14 41
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Kiwanja kinauzwa kipo JKT MBWENI njia ya kuelekea ndege beach kipo karibu na bahari. eneo square metre 1394. document zote zipo. tuwasiliane 0714 37 14 41
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…