Nyumba inapangishwa-tabata kimanga

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,459
4,748
bei nafuu
self 1.vyumba viwili vya kulala.jiko,stoo,dining ,choo na jiko.
ipo oposite na sheli pale tabata kimanga mwisho
bei ni 300,000/=ila inashuka ni nyumba nzuri kwa familia
ipo isolated hukai na wenye nyumba
hamna dalali utalipia kodi yako tu
maji ,umeme vipo.na sehemu yakupaki magari
mwenye kuhitaji ni PM

  • karibuni wapendwa MIMI NDIO DALALI NA SITAKI HELA YAKO YA UDALALI .
  • KUNA WANDUGU WANA NI PM WANATAKA UDALALI .HII NI NYUMBA YA BABA NA MAMA YANGU,
 
Hivi kodi imeshafikia 300,000 Tabata,nyumba ya vyumba viwili,hii ni hatari
 
  • soma vizuri mkuu Anselm.
  • self 1
  • 2bedrooms
  • jiko
  • stoo
  • dining
  • choo
 
Last edited by a moderator:
Dr . kupeng'e hiyo kodi inashuka na nivizuri ukione kitu then uthaminishe na hiyo 100,000/=
 
  • soma vizuri mkuu Anselm.
  • self 1
  • 2bedrooms
  • jiko
  • stoo
  • dining
  • choo

Okay ulimaanisha 1 Master bedroom + 2 bedrooms? Okay...vp kuhusu umeme,ina luku yake ya kujitegemea? sehemu ya ku'park magari ni fenced(ndani ya fensi) kama bei inapungua inaweza kunihamasisha kukatisha mkataba wangu ninapokaa sasa hv,naweza kuja kuiona? si haina dalali sitegemei ku'chargiwa zile fees za kidalali Mkuu...
 
its our house sasa dalali wa nini tena ,njoo upaone kuna marekebisho kidogo tu,ila its not fenced pia ukitoa hela ya mwaka tunakuwekea na uzio mara moja.NYUMBA NI MPYA HAIJAWAHI KALIWA NA MTU YOYOTE YULE,UMEME NI WA LUKU ni yako mwenyewe NA HAMNA DENI KWANI HAPAJAKALIWA NA MTU YYTE,THEN KODI NI TUTAELEWANA .maji yapo. @Anselm
 
Back
Top Bottom