Kiwanja kinauzwa segerea mzimuni bei poa kabisa

Kabachubya

Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
87
Reaction score
10
Mambo vipi wadau? Nina kiwanja nakiuza bei nzuri sana kwa sasa kina upana kwa mbele ni mita 23 na nyuma ni mita 15, kwa pembeni kina urefu wa mita 20 hivi.
BEI NI 6.5 MILIONI NA NDIO BEI YA KUUZIA, KWA MAANA NYINGINE NIMESHAKUPA NA PUNGUZO.

KWA MAWASILIANO : 0713 123 464, 0762 101 178
 
Umbali gani toka barabarani? Kina hati?
 
Hakina hati,pale kumepimwa na njia ya barabara zimeachwa vizuri tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom