Kiwanja kinauzwa kimara mavurunza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa kimara mavurunza

Discussion in 'Matangazo madogo' started by kabasele, Aug 21, 2012.

 1. k

  kabasele Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Nauza kiwanja changu.

  Wapi?
  Kimara Mavurunza. Kilometa mbili kutoka Kimara mwisho.
  Ukubwa? mita 28 kwa 26
  Bei?
  milioni 15
  Sifa zingine?
  . Umeme upo
  . Barabara ipo mpaka kiwanjani
  . Ni sehemu ambayo tayari kumeshajengeka
  . Usafiri wa daladala upo
  . Ni karibu sana sana na barabara kubwa
  . Hakuna dalali
  Mawasiliano? 0782 230159
   
 2. K

  Kimla JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,493
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  Nakupa 7m mzee
   
Loading...