Toyota dcm inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyota dcm inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by anan7alp, Apr 4, 2012.

 1. a

  anan7alp New Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iko barabarani,Inafanya kazi Njia ya Kawe-Mbagala

  Bei; 25,000,000/- Maelewano yapo

  IMG-20120321-01268.jpg

  Kwa Mawasiliano piga sim 0787 081 555
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,789
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  bei juu sana,bora niagize hino bus toka japan haitazidi 23m
   
 3. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ngoja niisubiri hapa morocco niipande nisikilizie mdundo wake kwanza,
   
 4. GP

  GP JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hii avatar yako, mhhhhh
  ila gobore limechoka mno, kwa hiyo bei inatisha
   
 5. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Haf Wajapan hivi sasa hawatengenezi tena madudu haya ila ndo deal sana kwetu huku
   
 6. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Mkuu me nahitaji Fundi aliyekubuhu kwenye kutengeneza haya ma DCM kwani ninalo langu Garage kosa hawakulijua na imenibidi nilifanyie matengenezo yote ya Engene sasa imekuwa kama kosa vile naona naibiwa tu Nimeanza na Pump,likaja main na cone then Cylinder head ijazwe then ikaja Pump tena kisha nozel yote yameisha naambiwa Cylinder head haikuwa sawa kesho inafunguliwa tena compression hamna mara inapumulia nje.. black fire za kufa mtu kha hadi na mimi nafikiria kuiuza ila sio kama bei yako dah si mchezo 25m? kama naziona vile ukifanikiwa kwa bei hiyo na mimi natangaza... kuuza
   
 7. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  DCM ni product za India
   
 8. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Yap ila Mkuu Wahindi wao walikuwa wana jenga body tu kila kitu ni Japan kuanzia Engene14 zile ambazo hazina outo Power Staring pia zinafanana pia kama za kwenye Toyota Coaster au zile Land cruiser za zamani roho ya paka gear box na chassis na taka taka karibu zote ni mjepu India keshaacha kujenga body...

  Kuna Duka la Spear za DCM Ilala kila kitu unapata kipya

  Uzuri wa DCM zina Shukrani ukilitunza litakulipa na kukuzalia mengine na ni msaada mkubwa kifamilia
   
Loading...