Aloe Lips...Addding that sparkle to your lips!!! TSH 6,000/-

gorretti54

Member
Jun 21, 2012
53
17
TSH 6,000/-

0754 710870
0769 888605
0786 139316
0783 454523

gorretti54@gmail.com

Aloe Lips


  • Ni bidhaa ndogo lakini inatumika kwa huduma ya kwanza, ina aloe vera , jojoba oil na nta ya nyuki ambayo husaidia kulainisha, kuboresha midomo na ngozi kwa ujumla .
  • Husaidia kuondoa mipasuko ya midomo, ukavu, vidonda na michubuko.
  • Pia husaidia na kuondoa maumivu na kuponya watu walio jikata, kung'atwa na wadudu na kuungua moto.
  • Bidhaa hii ikipakwa mwilini husaidia kufukuza mbu.
  • Kwa wenye matatizo ya kuvimba sehemu ya haja kubwa(haemorrhoids), ikipakwa husaidia kuu bacteria na kuondoa uvimbe.
 

Attachments

  • AloeLips.jpg
    AloeLips.jpg
    185.7 KB · Views: 81
Mko wapi? kabla sijapiga simu!
Je vimesajiliwa kwa mujibu wa sheria ya dawa Tanzania? TFDA act,2003?
 
Mko wapi? kabla sijapiga simu!
Je vimesajiliwa kwa mujibu wa sheria ya dawa Tanzania? TFDA act,2003?
Ndiyo, tumesajiliwa kwa mujibu wa sheria ya dawa Tanzania. Tupo Quality Plaza, Ground floor. Mimi ni authorized distributor wa Forever Living. Piga simu nitakuletea bidhaa eneo lolote ndani ya Dar. Kwa mikoani inabidi kufanya arrangement kidogo. Karibu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom