Nyumba 2 zilizo eneo moja zinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba 2 zilizo eneo moja zinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kariba1, Sep 29, 2012.

 1. K

  Kariba1 Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Khabari wanajamii! kuna nyumba mbili zilizo eneo moja zinauzwa nyumba zina vyumba 5 kila moja, sebule na kolido. maji na umeme vipo nyumba zipo kwenye eneo lenye ukubwa wa nusu heka, zipo tegeta kibaoni upande wa kushoto barabara iendayo wazo kabla ya kituo cha msikitini eneo ni zuri kwa makazi na biashara kama kupangisha, bar, guest nk bie yake ni ml 160 kwa mhitaji wasiliana na mudy 0714107215
   

  Attached Files:

 2. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Fanya mpango uzigeuze picha maana ni mtihani au kitendawili
   
 3. j

  josby Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu hizo picha mbona umepga kama unaogopa sasa? hazionekan vzur.
   
 4. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mie nimegeuza sikiriin lakin wapi?

  wataalam naomba mtugeuzie hizp pics
   
Loading...