Gari GX 110 INAUZWA saaaafi 11M (maelewano) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari GX 110 INAUZWA saaaafi 11M (maelewano)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Davie S.M, Sep 15, 2012.

 1. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nauza Gx110,ipo safi haina shida,inatembea full option..ODO 160,000kms,Nyeupe,Alloys Rims,
  Reasons ya Kuuza; Ipo Dodoma,nimehamishiwa Dar Nimepatiwa Gari Nyingine.

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 2. w

  waku Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  weka picha tuone
   
 3. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Okey..hold on
   
 4. Mtimti

  Mtimti JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 23, 2008
  Messages: 912
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 60
  Forum nyingi zinazohusu magari hapa ulaya zinashauri usinunue gari iliyotumika zaidi ya km 150,000
  we huoni kwa bei hiyo unakuwa unawauzia watu body?....
   
 5. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Good morning sir
   
 6. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  IMG-20120913-WA000.jpg IMG-20120913-WA000.jpg
   
 7. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hii gari ipo depreciated kutokana na matumiz ya hapa,imenunuliwa ikiwa used,Lumumba pale wanarudisha kms nyuma,sihitaj fanya ivo...sasa ukitaka tufate recommendation za 0kms za Ulaya hatuwez ku afforD,besides bado napokea offer...

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 8. next

  next JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 601
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  mmnaojifanya wajuaji wa mambo ndo hua mnalizwa mbaya, aya bwana wa "hapa ulaya"
   
 9. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180

  Mkuu,

  hio gari inavyoonekana rangi ya boneti na mlango wa mbele ni tofauti na rangi ya shavu na mlango wa nyuma. Mara nyingi hiyo humaanisha kuwa gari ilipata ajali ikawekewa spare na yenye rangi isiyofanana kwa asilimia 100 na rangi ya awali. Je, kwa hii yako kutofautiana rangi kuna sababu gani?
   
 10. c

  chaudere Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kama inawezekana tupostie picha za ndani ya gari tuone mbele na siti pia...isije kuwa UZURI WA UKAKAZI...Halafu mbona kama ni gx 100 (CRESTSA) ...weka picha za upande wa nyuma...
   
 11. Mtimti

  Mtimti JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 23, 2008
  Messages: 912
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 60
  pole sana,ukikua utaona kuwa ulaya ni sehemu ya kawaida tu kama arusha au tanga...usiumie sana ukiona/sikia mtu yupo ulaya......bahati mbaya mi sio mjuaji bali napenda kujifunza!
   
Loading...