Tracto (Semi) Daf CF 85 430 HP | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tracto (Semi) Daf CF 85 430 HP

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Bobby, Sep 30, 2012.

 1. B

  Bobby JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,683
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Ninauza Daf CF 430 HP toka UK imetoka bandarini juzi, rangi yake ni nyeupe (Pearl white) na ina hali nzuri sana. Bei ni maelewano. Endapo mtu anataka kuiona ipo Temeke Mwisho na kwa mawasiliano zaidi piga 0717 615535 au 0789 100891. Karibuni sana.
   
 2. t

  truckdriver JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 504
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 60
  Mkuu biashara yako unaruhusu mtu kulipa kidogo kidogo(kwa installment)?
   
 3. B

  Bobby JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,683
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Mkuu dereva wa lorry policy yangu ya mauzo hairuhusu hilo ndio maana bei zetu kidogo ziko chini. Karibu sana.
   
 4. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa maana ya 'Tracto', au unamaanisha Tractor?

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 5. B

  Bobby JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,683
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Ni kosa la kifundi kwenye typing na nililiona wakati tayari nimekwishapost bahati nzuri au mbaya nimeshindwa kuedit title. Ni tractor kama ambavyo wengi wamezoea kuziita semi trailer. Ahsante.
   
 6. t

  truckdriver JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 504
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 60
  Sawa Bobby, weka picha na bei basi tuone kama tutaweza kabla hatujapiga simu au kuchoma mafuta mpaka Temeke.
   
 7. B

  Bobby JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,683
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Asubuhi na mapema kesho Mungu akituamsha salama utazipata picha zisizopungua nne mkuu driver.
   
 8. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Mkuu toa specs za gari, engine size, uzito maana ya tani? Jee unalo trailer lake au inabidi nichongeshe. Mwaka wa gari? Niambie matairi yametumika muda gani? maana 50% au 75%.
   
 9. B

  Bobby JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,683
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Mkuu mtanganyika taarifa ulizoziomba hizi hapa chini:  Plated Weight : 44,000 Kgs. (Japo kwa mizani ya bongo huwa tunabeba 30-35 maximum)
  Design Weight : 50,000 Kgs.
  Year/model: 2002
  Gearbox: 16 speed 100% manual
  Trailer: Gari haina but ninaweza kukuunganisha na dealers ukapata kwa bei nzuri iwe used or mpya.


  Sina shaka nimejibu maswali yako ila kama nimeacha mengine please let me know niyajibu.
   
 10. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Good umejibu majibu yangu kama nilivyotaka, next time weka hizo specs mwanzoni. Sasa kingine jee ni kiasi gani linauzwa? Pili jee ni day cab au sleeping cab? Kama ni sleeping cab naamaanisha ina kitanda jee inakuwa ndani ya sheria za Tanroad au naitaji kibali cha kila mwaka cha kuoperate over size trailer.
   
 11. B

  Bobby JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,683
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Mtanganyika, thanks kwa ushauri wako ambao nitaufanyia kazi next time. Kuhusu bei naomba tutawasiliana kwa contact niliyoiweka hapo juu. Na cab ni sleeper na sijawahi kusikia kwamba unahitaji kuomba kibali toka Tanroads kuoperate trucks ambazo zina sleeper cabs, gari zote nilizonazo ni sleeper cabs na sijawahi kupata usumbufu wowote toka Tanraods. Unless kwenye hili ulimaanisha kubeba mzigo ambao either ni overweight or oversize. Kwa uzoefu mdogo sijwahi kuomba kibali Tanroads kubeba overweight bali nimewahi kufanya hivyo kubeba oversize na hili ni kwa consignment. Nawafahamu jamaa ambao kwa nature ya kazi zao wamewahi kubeba mzigo overweight kwa kibali maalumu cha Tanroads so yote yanawezekana pasipo kuvunja sheria.
   
 12. t

  truckdriver JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 504
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 60
  Sleeper ambazo inabidi uwaone Tanroad ni zile longnose za kimarekani au volvo zile zenye pua. Kwasababu urefu wa tractor na trela kwa pamoja unazidi meters allowed by tanroad. Hizi european trucks(cab over) hazina shida na Tanroad.
   
 13. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Umejibu sawia kabisa, na hilo ndio lilikuwa swali langu. Thanks
   
 14. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Tuwekee Picha sasa Kaka
   
Loading...