Gunia za pamba zinahitajika

Gunia za pamba zinahitajika

Triple A

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
766
Reaction score
148
zinahitajika gunia zile soft,kuna za katani na za pamba zinazohitajika nizapamba used,mwenye nazo anipm tufanye biashara!
 
fafanua kaka za ujazo gani na ni zipi hizo maana ukishasema gunia hwa ni la katani tu au viroba?
 
Kama uko serious ni contact harakati na specifics kwa Mfano hakuna gunia za pamba, Kama alivyokwishasema mwenzangu Mimi nauza za katana ' jute bags' mpya size zote hakuna broker Mimi ni regiona representative Kama interested tuwasiliane faster
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom