Mtoto yatima ameungua vibaya na anaomba msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto yatima ameungua vibaya na anaomba msaada

Discussion in 'Matangazo madogo' started by TZ biashara, Oct 5, 2012.

 1. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  DSC05990.JPG

  Nimeliona hili tangazo katika blog ya Mjengwa kwakweli imenisikitisha sana na hivo nimeona labda niwawekee na wengine wasiojua pengine itasaidia kumpatia msaada.Kwakweli inaonyesha yupo katika maumivu makalisana na tuungane kwa kumsaidia na vilevile tumuombee kwa mwenyezi mungu kumpa uzima na afya inshaallah.Imeandikwa hivi...
  Afya ya mtotoJuliana inuka mkazi wa kijiji Cha Mavanga wilaya ya Ludewa mkoani Njombe aliyelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi ni mbaya kwa sasa kula wala kunywa anatumia mipira maalum.

  Hata hizo inadaiwa kuwa jitihada zinazofanywa na madaktari na wauguzi wa Hospitali hiyo ya Muhimbili kwa mtoto Juliana ni kubwa sana ambazo zinatia moyo kwa wauguzi wa mtoto huyo waliopo hapo.

  Hawa ni wadau waliojitokeza kuchangia kwa siku mbli hizi ni pamoja na Frank Mchomvu (Tsh 11,000) na Atuboneksye Massapa (Tsh.20,000)mtandao WA FRANCIS GODWIN unaendelea kuwashukuru wote wanaoendelea kutoa michango yao kunusuru uhai wa mtoto Juliana ambaye ni yatima , Mtandao wa Francis Godwin unaendelea kuwapongeza wote wanaoendelea kuguswa na kuungana na wadau wengine kumchangia fedha za matibabu.

  Mtoto Juliana kama anavyoonekana akiwa ameungua uso wake kwa moto ni yatima anahitaji msaada wako ili kunusuru maisha yake waweza kutuma mchango wako kwa njia ya M-PESA katika namba hii 0754 026 299 au Tigo Pesa 0712 750199 namba hizi ni za Bw. Francis Godwin Nawaomba tuungane kufanikisha kuokoa maisha ya mtoto Juliana Mwinuka na Mungu atatuongezea zaidi

  Asanteni waungwana
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Pole sana binti Mungu atakusaidia hata me nakuombea.
   
Loading...