Powe station (mashine ndogo ya kuhifadhi umeme kwa matumizi madogo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Powe station (mashine ndogo ya kuhifadhi umeme kwa matumizi madogo)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by TZ biashara, Oct 7, 2012.

 1. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  1.Battery gel battery: 12V / 7A
  2. Small voltage Sockets:Battery gel battery: 12 v / 7 Ah

  Small voltage Sockets:
  a. 3 volt
  b. 4.5 volt
  c.-6 Volt
  d. 9 volt
  e. 12 volt
  3. Car Socket 12 volts / 10 Ah
  4. Schraubanschlusse 12 volt / l 5
  .

  Hii ni mashine ndogo ambayo inauwezo wa kuhifadhi umeme wa dharura kwa matumizi madogo.Matumizi yake ni kama kuweza ku-charge simu au laptop na hata pia inauwezo wa kuwasha taa vilevile lakini sio nyumba nzima ila kama ni chumba kimoja.Kwakuwa sio mtaalamu sana wa vitu hivi kwahiyo sina maelezo mengi sana lakini kwa hayo yataweza kufahamika.Nimeinunua uingereza na niliwahi kuitumia kwa kuijaribu mara moja tu na ilikaa kwa miaka miwili kwahiyo haina box lakini ni kizuri hakina tatizo.Naiuza pamoja na adaptor yake na ipo DAR na bei yake ni shs 120,000 na kwa mwenye kuhitaji tafadhali mpigie Habibu 0717810318.[​IMG][​IMG]
  Last edited by TZ biashara; 30th September 2012 at 11:06.
   
Loading...