Kama unataka kiwanja cha makazi au biashara gezaurole tuwasiliane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama unataka kiwanja cha makazi au biashara gezaurole tuwasiliane

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Oct 4, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Tunavyo viwanja vingi vya makazi na biashara hapo gezaulole vyote vimepimwa SQM 1191 - 1440 ( Havilla real estate agent 0657 145555, 0754 278 278 Akili & Adili. gezaulole ipo kigamboni ni mwendo km 13 - 15 kutoka feri.
   
 2. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,960
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Simu yangu haina pesa ya kukupigia. Tupe bei
   
 3. A

  Akiri JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  bei ya kiwanja kp? kila kiwanja kina bei yake vipo vya biashara na makazi . vya makazi sqm 1200 una pata kwa 18m na biashara sqm 1440 kwa 35m. samahani kwa kutoweka bei
   
 4. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  SQM nina shida ya kulewa nimezoea nusi eka au eka naomba nifafanulie kama nitapata angalau cha million 4?
  Sina mamilion yote hayo kaka nataka cha makazi sio business
   
 5. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mkuu Akiri, kwan square metre 1 mnauza bei gan?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. A

  Akiri JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  mfano kiwanja cha makazi sqm 1200 sh 18,000,000 sh 15,000
   
 7. A

  Akiri JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  cha milion 4 unaweza pata lakini sio gezaulole kuna sehemu inaitwa amani gomvu ni km 27 toka feri kuna viwanja vimepimwa na sqm 1 inauzwa 6,500
   
 8. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie nahitaji eneo la kuanzia ekari moja lisilopimwa, Gezaulole au kijiji baada au kabla ya Geza bei yake inakuwaje?
   
 9. A

  Akiri JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Sawa boss wangu amani gomvu ni mbele ya gezaulole kuna hekari moja haijapimwa na ipo barabarani ni tambarale inauzwa 18m
   
 10. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aksante kaka, hii inasimamia mbali sana wala siiwezi kwakweli; mie nahang na 5m huku nlidhan kwa hivi visivyopimya ndo ntaviweza kumbe bado naburuzwa tu
   
 11. A

  Akiri JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  asante pia na karibu lakini huku sio mbali na ni karibu na beach labda tuwasiliane nikupeleke kibada kuna kiwanja cha miguu 20 x 30 kipo karibu na bara bara kinauzwa 3m. kipo eneo zuri kabasa
   
 12. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kibada ndo pana umbali gani toka Feri, maana mie naijua Geza na Dege tu, huko kwingine nakusikia tu
   
 13. A

  Akiri JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ni km 13 - 15
   
Loading...