TENGENEZA FAIDA kupitia stoo yako ama za wenzako! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TENGENEZA FAIDA kupitia stoo yako ama za wenzako!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by popo_tanzania, Oct 3, 2012.

 1. p

  popo_tanzania Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wote tunafahamu stoo ni sehemu ya kuhifadhia vitu, lakini kwanini tuhifadhi vitu miezi na miezi ama miaka na miaka bila kuvitumia? Wakati stoo yako inazidi kujaa, huku nyuma kuna watu (makumi kwa mamia) wanaendelea kununua bidhaa hiyo hiyo ili kwenda kutumia mara moja kwa wiki ama kwa mwezi na kisha kwenda kuweka stoo. Stoo zetu zinaendelea kujaa, na wakati huo huo baadhi ya vitu vinaanza kuharibika kwa kukaa zaidi bila kutumika!


  • Je wajua unaweza kutengeneza faida kubwa kupitia stoo yako?
  • Je wajua unaweza kutengeneza faida kubwa kupitia stoo ya mwenzako?

  Je wajua unaweza kutengeneza faida kubwa kupitia stoo yako?
  Fikiri vifaa vyote vile ulivyovinunua kwa ajili ya ujenzi, na sasa ujenzi umekwisha na umeviweka stoo. Je huwezi kutengeneza faida kwa kuvikodisha kwa bei nafuu! Fikiri kuhusu vitabu ama vifaa ulivyokuwa ukitumia shuleni ama kwenye kazi maalum, kwanini usitengeneze faida kwa kuvikodisha kwa bei nafuu! Fikiri kuhusu camera, video games, laptop usiyoitumia! Vipi kuhusu kids toys, generator, baiskeli, n.k.?


  Je wajua unaweza kutengeneza faida kubwa kupitia stoo za wenzako?
  Kabla ya kufanya manunuzi ya bidhaa ama kifaa ambacho utakwenda kukitumia kwa muda mfupi, ni vizuri ukaangalia stoo za wenzako. Fikiri kwa nini ukanunue camera ya kichina kwa ajili ya kuchukua picha za mahafali yako, wakati stoo za wenzako zimejaa camera za ubora wa hali ya juu na zenye uwezo wa kuchukua picha nyingi zaidi na zenye ubora zaidi. Je, wajua unaweza kuokoa pesa yako (na kutengeneza faida) kwa kukodi camera kwa bei ndogo zaidi karibu na bure, badala ya kwenda kununua!

  Kwa Wajasiriamali wadogo na wa kati, kabla ya kufanya manunuzi ya vifaa vya biashara yako mpya ni vizuri ukaangaza macho kwenye stoo za wenzako, ili kuokoa pesa (na pengine kutengeneza faida) katika kipindi cha majaribio ya biashara yako mpya.

  Fikiri kuhusu vitabu ama vifaa mbali mbali wakati wa mitihani, swali ni utanunua vingapi na utahifadhi wapi baada ya mitihani! Fikiri kuhusu bibi harusi, kwanini ununue gauni la mamilioni (kwaajili ya sherehe ya siku moja) wakati kuna gauni hilo hilo linapatika kwenye stoo za wenzako kwa bei nafuu zaidi karibu na bure, okoa pesa yako furahia fungate!

  Fikiri kuhusu baiskeli, pikipiki ama gari uwapo safarini ama ukiwa na shughuli maalum, tengeneza faida, angaza kwenye stoo za wenzako walio karibu nawe. Kukopa kunaokoa pesa, muda pamoja na nafasi katika stoo yako!

  Anza leo, tembelea "www.popo.co.tz"!

  "www.popo.co.tz" ni mtandao mpya wenye lengo la kukusanya stoo nyingi na kuziweka pamoja. Kuwa kusanya pamoja wakopeshaji na wakopaji, ili kila mmoja aweze kutengeneza faida. "www.popo.co.tz" inayojumuisha vifaa/ bidhaa/ vitu kutoka katika stoo za watu binafsi (individuals), Wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs), wafanyabiashara wakubwa (professional renters) pamoja na makampuni (companies).

  Nawe waweza kujiunga kutengeneza faida kupitia stoo yako, ama kupitia stoo za wenzako. Kujiunga ni BURE, anza sasa kutengeneza faida yako!


  --
  POPO Team!
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Good idea. Nimeupenda mtazamo wako... Kwa kuanza, nina projector nakodisha kwa anayehitaji tuwasiliane. Ni mpya kabisa!
   
 3. p

  popo_tanzania Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TANMO,

  www.popo.co.tz iko kwaajili ya kuwaunganisha wakopeshaji (kama wewe) na wakopaji wengi wenye kutafuta bidhaa hiyo! Jiulize, ni wakopaji wangapi watapita katika hii thread na kuja kuona hii message yako kuhusu projector? Jiulize, ni wangapi watasoma hii message yako na kuona kuwa uko serious katika hili la kukodi projector? Jiulize, je ni guests wangapi watakuwa tayari kujirejista na JF ili waweze kuku-PM kwaajili ya kukodi hii projector?

  Solution: tuma picha ya projector yako www.popo.co.tz na kisha weka gharama zako kwa siku/ wiki/ mwezi/ na kadhalika. Yote haya ni BURE!

  Usikubali kushindwa kabla ya kuanza!


  --
  POPO Team
   
 4. S

  Silicon Valley JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 554
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  Coming back
   
 5. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  briliant idea,ila nina maswali mawili...1.how do you(POPO team) make money sasa?,2.kwa mfano nikalist vitu vyangu,na mkopeshaji akakimbia nacho au akakiharibu mtanisaidiaje?....
   
Loading...