Habari wana JF. Naitaji mashine ya mbao ambayo itatumika katika kiwanda ambayo ina 7 fuction. Iwe inaweza kuranda, kukata, kutoboa na kazi nyingine. Kwa mawasiliano nipigie kwenye 0716-369299
Ni simu mpya kali. Jamaa yangu katoka nayo Finland. Hapa bongo it has a worth of mil 1.2 kwenye maduka, ni more > galaxies kwa anayejua simu. Unaweza ichek features zake vizuri via google. Only...
Heshima kwenu wadau,,
Natafuta kifaa cha kujailbreak ps3 ili iweze kucopy games inside,, katrika research yangu online nimeviona aina tofauti kama PS JAILBREAK, na aina tofauti za USB dongle...
NB:Not real photo(wakati naingia mitamboni kurusha tangazo hili gari ilikuwaimetoka) ila inafanana hivyo!
Toyota Harrier rangi ya silver with "A" series registration,around 95,000 km readings.in...
Wana JF,
Natafuta bulldozer la kukodi kwa ajili ya kusafishia shamba jipya.
Maana yake ni kusafisha pori na kung'oa visiki kwa kutumia bulldozer.
Nataka kujua mwenye bulldozer anatoza shilingi...
Ndugu wana Jamvi,
Tunahitaji supplier wa raw materials kutoka Tanzania ambayo ni Saw Palmetto
please if you have any information kuhusu supplier wa saw palmetto kutoka Tanzania tuwasiliane kwenye...
kifaa maalum ama radio kwa ajili ya kupata wireless internet (corporate) inauzwa...imetengenezwa na Wavion kutoka Israel..bei usd 3000..nipm or call 0716 24 6226 for further negotiations.
refer...
Habari wana JF. natafuta pulling tela la scania kwaajili ya kukodisha liwe limiefunikwa (box body).
Mwenye nalo tuwasiliane kwa makubaliano zaidi. mimi nipo Dar
HABARI WADAU;
kama kuna yeyote mwenye mizani ya kupimia kwa kutumia mawe, au anajua inapouzwa (hata used) naomba tuwasiliane chapchap. sms or call 0762959725 or ni pm.
HABARI WADAU;
kama kuna yeyote anayejua/ anamjua au ana ujuzi wa kupata till number ya Tigo pesa (uwakala wa tigo pesa), naomba tuwasiliane. nilifika kwa agents wao mmoja akaniambia kwa sasa...
Wana JF nawasalimu. Ninauza gari Suzuki Escudo milango 5 kwa Sh. 8,200,000/=. Gari liko Dar, lina hali nzuri na linatembea. Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane.
GlanzaS for sell 5 months in Tanzania,driven by a lady...alloy wheel,jvc music and subwoofer.
Serviced on time....asking price 10.5M.......Contact 0713 123 673