Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 131 Oct 22, 2012 #1 Habari wana JF. natafuta pulling tela la scania kwaajili ya kukodisha liwe limiefunikwa (box body). Mwenye nalo tuwasiliane kwa makubaliano zaidi. mimi nipo Dar
Habari wana JF. natafuta pulling tela la scania kwaajili ya kukodisha liwe limiefunikwa (box body). Mwenye nalo tuwasiliane kwa makubaliano zaidi. mimi nipo Dar
Mgengeli Senior Member Joined Sep 23, 2011 Posts 193 Reaction score 13 Oct 22, 2012 #2 tela ya pulling ni shida sana kuipata ila jitahidi mimi nami natafuta ila iwe ya tankers
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Oct 23, 2012 #3 kama mnataka kununua nitafuteni au naweza kuwaunganisha na watu wa mombasa mkakodi mimi ni agent mukubali kunilipa commission 0657 145555
kama mnataka kununua nitafuteni au naweza kuwaunganisha na watu wa mombasa mkakodi mimi ni agent mukubali kunilipa commission 0657 145555