Natafuta modchip ya ps3 (ps jailbreak) yeyote mwenye nayo tufanye biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta modchip ya ps3 (ps jailbreak) yeyote mwenye nayo tufanye biashara

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MKATA KIU, Oct 25, 2011.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu wadau,,

  Natafuta kifaa cha kujailbreak ps3 ili iweze kucopy games inside,, katrika research yangu online nimeviona aina tofauti kama PS JAILBREAK, na aina tofauti za USB dongle zinazoweza kujailbreak ps3,, so wadau mnaoenda enda china na kwingineko na mnafanya biashara tuelekezeni kwa bongo tutazipata vipi
   
 2. o

  omyme Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Assalaam Alykm Brother Mkata Kiu Vp Hal Mheshimiwa Kwemaa Dah! Kakangu Me Nina ps3 Isha Jailbreakiwa Na Rafk Yangu Aliniwekea Game Mbili Then Brother Wake Akaondoka Ye Ndo Anaweza Kuweka Game On PS3 HDD... Vp Wewe Nkikuletea Utaweza Kuniongezea Nyngne Inshaallah Namba Yangu Ni 0716033683 Plz Brother Nitumie msg I will Call u Back Help Me yng Ni v3.55 Nipo Dar
   
Loading...