Natafuta kukodi bulldozer kwa ajili ya kusafishia shamba

ROKY

Senior Member
May 4, 2011
182
70
Wana JF,
Natafuta bulldozer la kukodi kwa ajili ya kusafishia shamba jipya.
Maana yake ni kusafisha pori na kung'oa visiki kwa kutumia bulldozer.
Nataka kujua mwenye bulldozer anatoza shilingi ngapi kwa siku / saa.
Mahali yalipo mashamba hayo mapya ni mkoa wa pwani, kilometa 100 toka Dar es Salaam.

Kutokana na hali ya pori lenyewe, bulldozer hili liwe la namna hii hapa kwenye picha.
Yaani, bulldozer lenye 'kijiko' mbele kwa ajili ya kuangusha pori, na 'meno' nyuma kwa ajili ya kuvuta na kung'oa visiki.
 

Attachments

  • Bulldozer.jpg
    Bulldozer.jpg
    66.7 KB · Views: 154
Waone: 1) MANTRAC (CAT) 0784 469999, 222864284 wako Nyerere Road.
2) 0755 819022 au 0754 804597 wapo mitaani

Gharama ni kati ya 400,000 hadi 600,000 kwa siku, mafuta na malipo ya operator ni juu yako.


http://www.mantractanzania.com/index.php?pg=construct_rental

Gharama za mantrac ni mbaya sana, mkuu wao wanakodisha kwa mwezi, mafuta na operator ni juu yako
 
Back
Top Bottom