natafuta mashine ya mbao

natafuta mashine ya mbao

freemoney

Senior Member
Joined
May 21, 2012
Posts
109
Reaction score
6
Habari wana JF. Naitaji mashine ya mbao ambayo itatumika katika kiwanda ambayo ina 7 fuction. Iwe inaweza kuranda, kukata, kutoboa na kazi nyingine. Kwa mawasiliano nipigie kwenye 0716-369299
 
Back
Top Bottom