Naomba kujuzwa kuhusu gari zenye plate za nje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujuzwa kuhusu gari zenye plate za nje

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Goldman, Oct 29, 2012.

 1. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,262
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Naomba kueleweshwa nikiwa na gari ya kutembelea yenye plate number za nje lets say Botswana, kuna matatizo yeyote ya urahisi wa kuibiwa? Maana ntakuwa sijalisajiri, au matatizo gani wanayokumbana nayo wenye plate number za kigeni waliofata taratibu zote za sheria? Ntashukuru sana kwa maoni yenu.
   
 2. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Unaweza ukakaa nalo milele yote na ukalitembelea likiwa na namba za nchi nyingine ingawa unatakiwa kulipia TRA ada flani sijui kila baada ya mwezi.Kuhusu usalama hata kama una plate number za Tanzania unaibiwa tu kwa hiyo sidhani eti kuwa na plate number za nje eti inarahisisha kuibiwa gari
   
Loading...